
- Matokeo ya mtihani wa Kidato cha Nne (KCSE) yametangazwa
- Naomi Kawira wa Shule ya Upili ya Wasichana ya Pangani ameibuka bora zaidi katika mtihani huo wa KCSE
- Amefuatiwa na Sharon Chepchumba wa Shule ya Upili ya Wasichana ya Moi Eldoret
- Waziri wa Elimu Fred Matiang'i anasema watahiniwa 142 walipata alama ya A
- Watahiniwa 2714 walipata alama ya A-
Ilivyokuwa kwenye Mtihani wa Darasa la Nane (KCPE), msichana ameongoza kwenye mtihani wa Kitaifa wa Kidato cha Nne (KCSE) 2017 ambao matokeo yake yametangazwa rasmi na Waziri wa Elimu Fred Matiang'i.
Naomi Kawira wa Shule ya Upili ya Wasichana ya Pangani jijini Nairobi ameibuka wa kwanza miongoni mwa zaidi ya watahiniwa 600,000 walioufanya mtihani huo mwezi wa Novemba.
Pakua APP mpya ya TUKO upate habari BURE!
Kawira anafuatiwa na msichana mwingine, Sharon Chepchumba wa Shule ya Upili ya Wasicha ya Moi mjini Eldoret huku mvulana, Kamau Brian Maina wa Shule ya Upili ya Alliance akifuata.
Kulingana na Waziri Matiang'i, watahiniwa 142 walipata alama ya A, moja zaidi ya ilivyokuwa 2016. Mengi zaidi kufuatia punde.
Read ENGLISH VERSION
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Chanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2Bvzmeinmdia35ygZVmpK2ZmJ67qsPAZq6aZaOdwq2xjLKYZq%2BRqLaktMCnmGaxkWK9orrGmqWiZZ6ZtrqxjJugp5%2Bnlnq4rYykmqydXWd9coONoaumpA%3D%3D